COVID-19: Unacho pashwa Kujua

COVID-19 imekuwa onyo kubwa kuhusu kulinda fasi za VAW na I&I zidi magonjwa ya kuambukia, ukweli ni gani?

An illustration of a variety of different colour virus and germ shapes

COVID-19 katika mipangilio ya VAW & I&I

Wakati janga ya COVID-19 ilianza, mipangilio tofauti ya maisha kama vile fasi za VAW na I&I zilijikuta hazija jiandaa kwa kupambana na mambo tofauti kama vile kuzuwia na kujikinga na maambukizi kwenye fasi za kazi. Tangu hiyo wakati, mbinu mingi za ukingo, hatua na vifaa vya kuelimisha vilitengenezwa ili kupambana kama ipasavyo na hali ya COVID-19 katika maeneo yetu ya kuishi na kuweka watu salama.

COVID-19: Maulizo inayo ulizwa zaidi

An illustration of diverse women wearing face masks

Vinyume vya COVID-19 kwa Wanawake

Janga ya COVID-19 imekuwa na vinyume mubaya zaidi kwa wanawake kwa sababu mbalimbali. Hiyi ni pamoja na vinyume kwenye afya ya akili na afya ya kimwili, kuongezeka kwa ubaguzi kutokana na jinsia, rangi ao umri, kuongezeka kwa hali za unyanyasaji wa kijinsia, kuongezeka kwa hatari ya maambukizi kupitia huduma muhimu, kuongezeka kwa utoaji wa huduma ya matunzo na kazi za nyumbani na mambo ingine. Kulingana na Shirika la Public Health Agency of Canada, wanamuke mingi wamepatikana na COVID-19 kuliko wanaume.

 

Ili kupambana na wasiwasi hiyo, vifaa mingi ya kuelimisha na msaada zilitayarishwa kusaidia wanamuke katika janga hiyi. Tafazali angalia Kituo chetu cha vifaa vya kuelimisha ili kupata maelezo zaidi ya kipekee ambayo unaweza kutumia.

Vifaa vya haraka kwa wanawake wanao pambana na unyanyasaji.

Kutokana na vizuwizi vilivyo wekwa katika mazingira ya watu wote na ombi ya serkali ya kubakia nyumbani, wanamuke wengi wanalazimika kuikala katika mazingira isiyo salama na wanakuwa wahanga wa unyanyasaji wa kijinsia. Hiyi hali haipashwi kuwa hivyo. Tafazali ponda kwenye option ya “Pata Msaada Sasa” na upate kugundua vifaa mbalimbali vya kuelimisha na musaada inayo patikana ambao inaweza kukusaidia kupata usalama.

Vinyume vya COVID-19 kwa watu viziwi na vipofu

Janga ya COVID-19 ilikuwa na vinyume sana kwa watu viziwi na vipofu. Katika ulimwengu ambao mawasiliano kwa njia ya kugusa, kusoma kwa alama ya mdomo na luga ya ishara ni muhimu, kulikuwa haja gafla ya kuweka umbali wa kimwili, kuvala barakoa ili kufunika mdomo na pua na kubakia nyumbani wakati wa couvre-feu. Kwa ujumla hali hiyi inatenga sana watu viziwi na vipofu na inaweza kuwa na vinyume zaidi kwenye afya ya akili na kimwili kisha COVID-19 na janga hiyi.

Ni muhimu kujua vizuizi ambavyo janga hiyi ilileta kwa watu ndani ya jamii mbalimbali na kuwashirikisha iwezekanavyo. Tafazali angalia section yetu ya Vifaa vya kuelimisha ili upate vifaa mbalimbali ambavyo unaweza kutumia kwa kusaidia Mutafsiri na Mpatanishi.

Two woman assisting one another
A woman wearing clue gloves preparing a covid-19 vaccine

Ukweli kuhusu chanjo

Chanjo ya COVID-19 inatulinda ili tusipate ugonjwa kali wa COVID-19. Inaongezea mfumo wetu wa kinga nguvu ili kupambana na aina ya proteines ambazo zinapatikana ndani ya virusi inayo sababisha COVID-19. Hiyi inafanya mwili yetu kuwa tayari wakati inakutana na virusi na inaweza kupunguza uwezekano wa kuambukizwa, kupunguza maambukizi na kuzuwia dalili kali ao kulazwa kwenye hospitali kutokana na huu ugonjwa.

Endelea kugundua

A green needle icon

Habari zote kuhusu chanjo ya COVID-19

Pata majibu ya maulizo yako kuhusu COVID-19, na ujue ukweli kuhusu chanjo.

A blue vaccine conversation icon

Pata ukweli kuhusu chanjo

Kutokana na habari mingi zinazo semekana angalia liste yetu ya habari zisizo na uhakika kuhusu COVID-19 na gisi ya kuzichunguza.

An orange checklist icon

Explore COVID-19 tools and resources

Find all kinds of COVID-19 resources to help you manage COVID in congregate living settings.

Scroll To Top