Namna gani Magonjwa ya kuambukia inasambalana?

Jifunze yote kuhusu gisi magonjwa ya kuambukia inaambukia, hasa katika maeneo ya mikutano.

An illustration of a variety of different colour virus and germ shapes

Maambukizi inamaanisha nini?

Mikrobe ni sehemu ya maisha ya kila siku na inapatikana katika hewa, udongo, maji na ndani na kwenye mwili yetu. Kuna mikrobe zenye faida kwetu na zingine ambazo zinaleta magonjwa. Mikrobe zinaishi ndani na kwenye mwili yetu bila kusababisha hatari na kuna zingine zinatusaidia kuwa na afya bora. Ni sehemu kidogo tu ya mikrobe njo inajulikana kusababisha maambukizi.

Maambukizi inamaanisha gisi mikrobe inahama kutoka kwa mtu anaye ambukizwa. Mikrobe hazitembeyi zenyewe. Mikrobe zina tokana na watu, mazingira (upepo, maji) ao wanyama/vidudu.

Katika maeneo ya pamoja, mikrobe zinaweza kusafiri kupitia mugusano (kwa mfano, kugusa), kupulizia ao kutema (kwa mfano, matoni ya mate) ao kupumulia fasi ambapo mikrobe inapatikana ndani ya hewa (kwa mfano, kukohola/kupiga chafya).

Gisi magonjwa ya kuambukia inasambalana katika fasi za VAW na I-I

Mugusano ya moja kwa moja
Two hands shaking and covered with germs

Direct Contact

Mara mingi magonjwa zinaambukia kutoka kwa mtu mpaka mtu mwengine kupitia mugusano wa moja kwa moja. Hiyi inaweza kuwa kwa kusalimiana kwa mikono, kupiga chafya (hewa), na kubusu. Katika fasi za VAW, mugusano ya moja kwa moja inaweza kusababisha ugonjwa wa kuambukia kusambalana kwa haraka, na hasa virusi kama vile COVID-19 na mafua. Kuna vyombo vyingi ambazo tunaweza kutumia ili kusaidia kupunguza hatari ya maambukizi, unaweza kujifunza juu yavyo hapa.

Mugusano isiyo ya moja kwa moja
Vyombo vilivyo ambukizwa
Chakula iliyo ambukizwa
Vidudu na kulumiwa (piqures)

Gisi magonjwa ya kawaida inasambalana

Sasa... Namna gani tunaweza kuzuwia maambukizi?

Kwa kuwa kuna njia tofauti za maambukizi, ni muhimu kukumbuka kwamba kuna njia ambazo unaweza kuchukua ili kujilinda mwenyewe na watu waliyo karibu yako kwa kuzuwia kusambalana kwa magonjwa ya kuambukia. Mbinu ambazo unaweza kutumia ni pamoja na kufanya usafi bora wa mikono, kusafisha fasi kwa kutumia dawa ya kuuwa mikrobe ao kufwata tabia ya kufunika mdomo wakati unakohola ao na kupiga chafya. Tafazali kwa maelezo zaidi angalia section yetu kuhusu Kuzuwia kuhusiana na hatua ambazo unaweza kukamata ili kupunguza hatari ya kusambalaza maambukizi

A pink spray bottle with blue virus icons
An illustration of a variety of different colour virus and germ shapes

Jifunze zaidi kuhusu maambukizo

Kuna zingine magonjwa mingi za kuambukia ambazo zinapatikana katika dunia yetu ya leo na ni muhimu sana kujua gisi zinaweza kusambalana ili tuweze kujilinda muzuri!

Je, ungependa kujua zaidi kuhusu magonjwa tofauti na gisi zinaweza kuambukia kutoka kwa mtu mpaka mtu mwengine? Tafazali kwa maelezo zaidi fungua lien hiyi kutoka section yetu ya vifaa vya kuelimisha.

Scroll To Top